Asilimia sitini na sita ya watoto hawa wanaaminika kuishi katika eneo Kuu la Tokyo. Kufikia Mei 2024, Tokyo yenyewe, ukiondoa mikoa inayoizunguka, ilikuwa na watoto 3,399, wengi zaidi nchini Japani.
MOROGORO: JUMLA ya vijana 42,000 wamenufaika na programu za muda mrefu na muda mfupi kwa kupatiwa elimu na mafunzo ya ufundi ...
Mnamo Machi 31, 2020, Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia iliidhinisha mkopo wenye utata wa kiasi cha Dola za Marekani 500 Milioni kwa serikali ya Tanzania kwa ajili ya program ya elimu ya sekondari ...
Ripoti mpya ya hali ya elimu Barani Afrika iliyotolewa na Benki ya dunia imeziorodhesha nchi za Uganda na Tanzania katika kundi la pili la mataifa yenye kiwango cha juu cha watoto wanaoachia katikati ...
Sera hiyo iliyofanyiwa maboresho imeanzisha somo la Ujasiriamali kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwapatia ujuzi utakaowawezesha kujiajiri au kufanya shughuli kwa kutumia elimu ...
(Washington, DC) – Benki ya Dunia imeidhinisha mkopo wa elimu wa kiasi cha $500 milioni dola za kimarekani kwa Tanzania bila kuitaka serikali kuachana na sera yake ya kuwafukuza shule wasichana ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results